Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.
Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu...