mimi ni nani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melancholic

    Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

    Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza mara nyingi ninapokuwa peke yangu. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mara ni mtanzania halali ila tabia zangu zimekuwa za kipekeee sana toka nipo mdogo nimekuwa ni mtu wa kutafakari sana muda mwingi napenda kukaa peke yangu na...
  2. Mjanja M1

    Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  3. Aunty_

    Mimi ni nani?

    Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana. Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota...
  4. Zee la Masonko

    Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  5. Smart AJ

    Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben. Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni...
Back
Top Bottom