mimi

  1. Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  2. Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije

    Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kumpa ujauzito mtoto wa mama yake mdogo. Kuna kipindi nilimp!ga mpaka...
  3. R

    Je huyu binti ana upendo na Mimi kweli?

    Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani. Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia. kifupi huyu manzi nilitokea kuvutiwa nae,si mnajua warang walivyo wazuri Siku moja natoka job nikakutana...
  4. Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  5. O

    Nataka nikamuoe mtoto wa mwenyekiti kiti pale machame Hai je mimi kapuku inawezekana?

    Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika...
  6. Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  7. Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  8. Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!

    Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu! Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni moja ya simu na kipato changu kwa mwezi, mshahara na marupurupu, kilikuwa kama...
  9. Leo msela mimi nimepika Wali Nazi na Mboga Nazi

    Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya...
  10. Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  11. B

    Masudi: Haki ya nani Nimekoma Mimi!?

    Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea "Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na jamaa. Sisi tuliendelea na story zetu. Ghafla akaja binti mmoja wa pale kitaani kwetu akaingia...
  12. Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

    Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
  13. G

    Ni mimi peke yangu natamani maiti yangu ichomwe moto nikifa badala ya kuzikwa ardhini?

    Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka. Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa. Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa...
  14. Kijiji chatumia midoli kuondoa upweke Japan! Hapa mimi sijaelewa!!

    Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania). Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi? Bila...
  15. Mimi superbug sifa zangu ni hizi

    1. Nina elimu ya Masters. 2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK. 3. Nina watoto 3. 4. Mke mzuri. 5. Mpare kwa kabila. 6. Naipenda Israel na Urusi. 7. Najua kutumia silaha za moto. 8. Najua matumizi sahihi ya R na L. 9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma. 10. Mpenzi wa simba SC...
  16. Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

    Kwema Wakuu! Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi. Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii; 1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi. Baadaye...
  17. C

    Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

    Kwema wakuu, Yaani demu wangu kanisaliti na mtu mwingine. Yaani kakaza mpaka mi ndo imebidi niombe msamaha. Dah hatari sana kwakweli
  18. Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  19. Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…