minada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    DOKEZO Wakulima wa Korosho wa Mkunya Wilaya ya Newala hatujalipwa zaidi ya miezi miwili, wengine wamelipwa pungufu ya makubaliano

    Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha taratibu zote za manunuzi wakaondoka na mzigo kwa ahadi kuwa tutalipwa muda sio mrefu. Kwa kawaida hela...
  2. F

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Kurejesha Minada ya Ndani na Kimataifa Madini ya Vito

    ● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya...
  4. TZ-1

    Update:- Msimu wa korosho na minada ya korosho 2024/25

    Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi Mnada wa kwanza wa msimu mpya wa korosho mwaka 2024/2025 umefanyika leo October 11,2024 katika...
  5. Tanki

    Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  6. LIKUD

    Minada ya Mtwara mjini

    Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara. With much thanks in advance
  7. Tanki

    Naomba kuuliza kitu kuhusu hii minada ya hapa Dar es aalaam

    Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni, Jumatatu ni Tabata Kinyerezi, Na Kuna siku huwa upo Tabata segerea Kwa mbele kule sijui ni Tabata bima...
  8. Elon J

    Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  9. blackberry m

    Wafugaji Wilaya ya Mvomero wahamishia Minada yote Wilaya ya Kilosa

    WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
  10. Sa 7 mchana

    Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

    Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie. Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana. Asante
  11. PAZIA 3

    SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  12. Roving Journalist

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  13. D

    Manispaa ya Kinondoni Ondoeni au futeni kabisa minada ya Kunduchi na ule wa Boko-chama

    Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach! Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama! Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...
  14. Optimists

    Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
  15. Opportunity Cost

    Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  16. LIKUD

    Serikali imeshindwa kuwadhibiti matapeli wa minada?

    Juzi nimepita Mbezi ya Kimara kuna mmama kapigwa sh elfu 60 live live na wale matapeli wanaouza nguo na bidhaa kwa mnada. Hao ni matapeli, na wale wanao kuwa wana bid huwa wenzao na mtu akitoa pesa anapewa bidhaa feki. Serikali/ Ulinzi shirikishi waanze...
  17. Miss Zomboko

    Minada ya Korosho na ufuta kufanyika kwa njia ya Kieletroniki

    Katika kuongeza thamani ya zao la Korosho na ufuta hapa nchini serikali imesema katika msimu ujao wa uuzaji wa mazao hayo minada yake itafanyika kwa njia ya kieletroniki ambayo itaaanza mapema kabla ya minada kuanza. Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma...
  18. C

    Naomba kujuzwa ratiba za minada inayoizunguka Dar es Salaam

    Wakuu mimi ni mgeni hapa. Naomba kujuzwa minada ya Dar na karibu na Dar kama Pwani na Morogoro, minada ya bidhaa mchanganyiko.
Back
Top Bottom