mionekano ya warembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Mionekano ya warembo inaniacha hoi

    Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu. Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.
Back
Top Bottom