Kwa mtizamo wangu zoezi la sensa limekuwa na "poor planning"
Mitaani watu wengi inaonekana hawajafikiwa na zoezi hili katika siku ya kwanza ya 23/08/2022.
Siku hii ndiyo ya mapumziko, watu wameshinda nyumbani na makarani hawakuonekana. kuanzia tarehe 24, kila mtu atakuwa kwenye shughuli zake...