mipaka ya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi waandamizi, ni vizuri kutii mamlaka na taasisi zilizowaweka mlipo kwa heshima. Zingatieni viapo na mipaka ya kazi mlizopewa

    Katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER, muandishi Robert Greene ameeleza kinagaubaga tahadhari muhimu sana, mila, desturi, utamaduni na maisha ya viongozi dhidi ya mamlaka za juu yao. amefafanua maonyo na makatazo ya maana sana kwa viongozi watawala na wasaidizi woa, juu ya namna bora ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…