MAMBO MUHIMU KWA UJUMLA
1. Punguza kodi na kodi zijulikane wazi: Mlipa kodi yeyote hatakiwi kusubiri mpaka mzigo ufike bandarini kujua ni kodi gani alipe. Hii inapunguza biashara, inapunguza idadai ya watu kuleta vitu n ahata inapunguza upelekaji wa vitu nje. Kodi inabidi ziwe rahisi sana...
Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu kwenye prosess, mtanzania hayuko huru kuundakatibampya tunadanganyana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.