Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa.
Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya:
1. Barabara za lami
2. Reli ya mpya (SGR)
3. Mipango miji
4. Viwanda
Kusema ataleta...
Nimejaribu kuwaza namna na mpangilio wa Makazi haswa kwa uzoefu wangu kuishi Jiji la Dar. Inakuwaje huwezi kuona hili ni eneo flani wanaishi matajiri na halipaswi kuwa na viklabu uchwara au maduka ya Mangi kama Masaki. Nashangaa Masaki pia kuna wauza njegere na wanunua vyuma chakavu kibao...
Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho
Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK).
Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024.
Pakua Samia App kupitia Play Store...
Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili).
Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
Habari za saa hizi, wadau. Nimepata tatizo, nikasema nililete hapa JF kwa wadau ili nipate suluhu. Maana JF ni uwanja mpana, na kwangu mimi imeshanitatulia mambo mengi sana ambayo hata sikuomba ushauri.
Mimi nilinunua kiwanja. Kiwanja hicho hakikuwa na hati, lakini tayari kishapimwa. Process...
Mbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa sana Kwa yale maghorofa ya Kikinga yaliyojaa Kariakoo na Manzese
Baadae Mlale unono 🐼
----
POLENI...
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam.
Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi .
Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel.
Johari Rotana ni 5 stars...
Kutokana na speed ya miji kupanuka bila kuwa na mpangilio mzuri na pia maeneo ya wazi kuuzwa au kutokuwepo kabisa nashauri ianzishwe mamlaka ya mipango miji na maeneo ya wazi
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum,
Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Hivi wenzetu wafaransa waliweza vipi kupangilia vizuri namna hii miji yao.mfumo wao wa ujengaji makazi ukoje ?
Ukilinganisha na hapa kwetu Dar ambapo ndiyo wtz wengi wanapasifu,unaona kabisa utofauti mkubwa.Nini kifanyike ili na sisi miji yetu ipendeze?
Mimi napendekeza wanaohusika na mipango...
Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli?
Yaani sasa hvi hakuna maeneo ya makazi na maeneo ya biashara, kila sehemu ni biashara tu mafremu yanajengwa...
Anonymous
Thread
fremu za maduka
mipangomiji
udhibiti ujenzi holela
ujenzi holela
ujenzi holela wa fremu
Serikali itengeneze mpango maalumu wa namna ya kupanga miji na vijiji ili kupunguza gharama za kuhudumia miundombinu yake. Hii inamaana kwamba ili kifikia lenho lazima tuwe na mwendelezo sahihi wa ujenzi wa nyumba, viwanda au maendelezo yoyote yale ya ardhi.
Miji mingi inamaeneo ambayo ni wazi...
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa zaidi moja likiwa la chakula na lingine biashara.
Kijiji cha Namalembo(Picha kwa msaada wa Google...
Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji
Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
Serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 nchi hii lakini miji yote Tanzania haijapangiliwa.
Miji inajengwa hovyo hovyo, mtu anajenga popote, mipango miji hakuna, hakuna open space, hakuna play grounds, hakuna maeneo ya ujenzi wa huduma za kijamii.
Kinachosikitisha ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.