Niko Mbeya, nimekuja kutembea mara moja, baada ya kuzisikia sifa nyingi sana za mkoa na jiji hili la Mbeya.
Daima huwa na utamaduni wa kufanya matembezi ya miguu ili niweze kuujua mji vizuri, haswa nikiwa mgeni katika mji huo.
Mbeya ni jiji lililojaa vumbi, barabara za lami ni chache sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.