mipango na mikakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  2. Erythrocyte

    Pre GE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha. Ifahamike kwamba Mbowe ni Mjumbe wa...
Back
Top Bottom