Habari ya uzima,
Katika MAISHA kitu muhimu huwa ni mipango au mpango. Katika philosophy huwa tunasema kuwa "life go to the same direction you gotta go with it"
Maana yake maisha huwa ni yale yale tangia zamani au tangia kuwepo kwa binadamu. Ila nikufata njia sahihi za hayo maisha. Ila...