mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania hatuna mipango kabisa...

    Habari zenu.... Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana.. Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa...
  2. Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

    Well ni December, tunaumalizia mwaka! Kila mmoja kwa namna yake kuna malengo alijiwekea, yametimia? Kama ndiyo kwa asilimia ngapi? Na kama bado kwa nini? Wapi ulifeli? Binafsi niseme malengo hayakutimia kwa 95%, kuna biashara ipo somewhere, vijana wanaharibu mwanzo mwisho. Kwa huu mwaka...
  3. Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  4. C

    Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
  5. L

    Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
  6. Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  7. Maendeleo hayana chama wala ukabila au udini. Prof. Lipumba angetuvusha kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Mipango, aliivusha Rwanda

    Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia. Watu kama...
  8. Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia? Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati. Pia wanaeleza utaratibu huo...
  9. Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  10. Binadamu huwa tuna mipango mingi sana lakini hatujui kesho yetu

    Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
  11. Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

    Inaelezwa kwamba simba wapo katika mpango huo baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu huu.
  12. Magharibi yalaani mipango ya Urusi ya kura ya maoni kuhusu Ukraine

    Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi. Kura hizo zimeitishwa na maafisa wanaoungwa mkono na Urusi katika mikoa minne ya Ukraine kuuliza iwapo wanapaswa kuwa...
  13. Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
  14. God is the master planner of our lives

    GOD IS THE MASTER PLANNER OF OUR LIVES. [Mungu ndiye mtaalamu wa mipango ya maisha yetu] Kama kijana au kama binadamu yeyote wa kawaida ni lazima kuna mipango fulani itakuwa umejiwekea kwenye maisha. Mipango yako inaweza kuwa mizuri kwa ufahamu wako wa kawaida lakini upo uwezekano wa...
  15. Trump aionya German isifuate mkumbo watakiwa Ku surrender.

    Germans could be ‘left without a country’ soon – Trump Ex-president says he warned Angela Merkel that Berlin’s dependence on Russian energy could lead to a “surrender” Germans could be ‘left without a country’ soon – Trump Former President Donald Trump speaks at a Save America Rally on...
  16. Putin: Mashambulizi ya Ukraine ya kukabiliana na Urusi hayatabadili mipango ya Urusi

    Mashambulizi yaUkraine ya kukabiliana na Urusi hayatabadili mipango ya Urusi – Putin Mashambulio ya hivi karibuni ya kukabiliana na vita vya Urusi hayatabadili mipango ya Urusi, Vladimir Putin amesema katika kauli zake za kwanza kwa umma kuhusu sula hilo. Katika mashambulio ya haraka ya...
  17. L

    Fadhili Mpunji: Mipango hewa ya juhudi za Umoja wa Ulaya kudhoofisha nguvu ya ushawishi wa China barani Afrika zaonekana kugonga mwamba

    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
  18. D

    Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  19. Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  20. Tetesi: Wizara ya fedha na mipango haijitoshelezi.

    Yaliyo fanyika hivi karibuni; 1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi. 2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki. Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru ikiwa anamudu, kwani ameonekana kuishi katika machaguo duni siku zote. Miongoni mwa mafanikio yaliyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…