mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uchaguzi 2025 itakuwa ni CCM na kivuli cha Hayati Magufuli

    Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga. Sasa,kwa...
  2. Tuongee kiume: Kwanini mipango inayowekwa mwaka mpya haitimii?

    Tunakwenda kumaliza mwaka, vipi nikikwambia kuna mahali sasa hivi yupo mwanaume mwenzetu anakula viapo, anajiambia mwakani naacha pombe, au naacha sigara, au naacha mambo ya wanawake, michepuko na nyumba dogo, au naacha mambo ya kufuatana na marafiki kama mtoto wa sekondari, au mwakani naacha...
  3. Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki. Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
  4. Uwekezaji wa nyumba za biashara unahitaji mipango ya muda mfupi na muda mrefu

    Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua viwanja hata vikiwa mbali na mji, mji ukipanuka ardhi itaongezeka thamani. Kwa wale waliopata kiinua...
  5. Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

    Habari wakuu! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti...
  6. L

    Wanapopanga mipango yenye athari kwa raia, wawe wamejipanga vya kutosha

    Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe. Imefika mahali hata mwenyewe anaona kama vile ni kweli anao wajibu wa kutenda vile atendavyo mama nyumbani. Ni kweli kuwa...
  7. #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  8. SoC01 Hakuna Mwanafunzi asiye na uwezo wa kitaaluma ni mipango tu na kujiamini

    Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake. Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;- Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha. Na wengine wapo wenye uwezo wa...
  9. Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  10. S

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  11. Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  12. Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

    Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar. Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs. Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
  13. Rais Samia, tufuate utaratibu huu; jiji la Dar es Salaam litakuwa safi kila siku

    Nasema irudiwe na irudiwe tena na tena. Huyu mtalaam lazima atakuwa mwanaCCM kindakindaki maana haya ndo mawazo chanya ya wana CCM. Twende pamoja. CCM CCM CCM nimewaita mara tatu. Mpeni usajili huyu mwamba tena jezi namba 9 striker kabisa tumalize mechi zetu mapemaaaaa. ========= USAFI...
  14. Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  15. G

    Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  16. Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

    Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
  17. Waziri Lukuvi afuta waraka unaokataza madiwani kuidhinisha mipango ya uendelezaji miji

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za uidhinishaji mipango ya uendelezaji miji katika halmashauri zao uliotolewa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi nchini. Kabla ya kutolewa waraka huo mpya...
  18. Tupo katikati ya 2021, je kuna maendeleo kwenye mipango yako?

    Habari wana JF, Mwaka umefika nusu, je una progress vizuri kwenye mipango yako uliyojiwekea au ndiyo hivyo tena tunasubiri mwaka uishe tutoe lawama? Ni wakati mzuri wa kujitathmini. Asanteni
  19. Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  20. Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…