Baada ya kurudi kazini uongozi wa Simba, uliokuwa bize kwa ajili ya fainali kombe la Shirikisho (ASFC) na kubeba taji hilo mbele ya Yanga wamekutana na email iliyotoka Al Ahly ambayo imeeleza kumuhitaji Luis Miquissone.
Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata kutoka ndani ya Simba, mabingwa hao wa...