Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima Kilimanjaro, Mlima meru, Mito mikubwa ikiwemo Malagarasi ,pangani ,Mapolomoko ya Rukwa, Hifadhi za wanyama...