Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji mitambo hiyo ya Uturuki iitwayo Acarkardesler, ambapo mitambo hiyo itagharimu Dola za Kimarekani...
Miezi machache baada ya mkutano wa kilele wa Beijing wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kufanyika mwaka jana, wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamekuwa wakifuatulia maendeleo ya utaratibu wa FOCAC na mchango wake kwenye ushirikiano kati ya China na Afrika, hasa kama...
Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga - Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025.
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 11 , 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde, wilayani Sengerema katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya...
MBUNGE ATUPELE MWAKIBETE ASHIRIKI MBIO ZA MWENGE WA UHURU BUSOKELO, MIRADI MINGI YAZINDULIWA
Mbunge Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameungana na Viongozi mbalimbali kushiriki mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa ambao tarehe 29/08/2024 umekimbizwa Halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya...
Kwa hasira kuu.
Huu uchawa pro-max ukome.
Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona.
TUMECHOKA...
Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake.
Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na mingine bado inaendelea kukamilishwa! Akili kubwa ya Magufuli itaendelea kuendeleza taifa hili vizazi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Halmashauri hiyo hususan ni kwa Shule ya Sekondari ya Mizengo Pinda ambayo imeshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.