Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni...