Hii nimeiona kwenye Group linajiita MATAGA ila CHADEMA wamo kibao. Nikaona niwatumie hapa nanyi muione.
====
"CCM Mkoa wa Mbeya wanatamba kuwa Ziara ya Rais Samia Wilaya ya Kyela ilifana sana Jumapili tar.7/8/2022. Ni kweli kwa upande wa idadi ya watu na suti nyeusi za walinzi na wasaidizi...