Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini.
Hayo ameyasema leo Februari 23, 2025 wakati akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na wakuu wa...