Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana.
Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni wanayolipia wananchi, Sioni sababu ya kuita miradi majina ya viongozi unless wao wawe wametoa hela mifukoni...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kazi kubwa anayoifanya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli.
Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya...
Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini.
Hayo aliyasema Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
Mwaka fulan ilimlazimu mheshimiwa mkubwa Kwenda kutoa ushahidi mahakamani kutokana na ujenzi wa nyumba ya ubalozi Ulaya , gharama zikawa mara Tatu ya uhalisia!
Nikajiuliza swali,
Kwanini sasa hapo Kenya tunapopanga kujenga jumba la ubalozi kuna mpango wa kutumia Pesa nyingi sana ! Je kwanini...
Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali...