miradi ya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    RC Lindi aiagiza halmashauri ya Mtama kusimamia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  2. The Watchman

    RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8 Soma pia: Pre...
  3. kijana wa leo

    Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  4. Ojuolegbha

    Waziri kombo atembelea miradi ya ujenzi jijini Addis Ababa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. JanguKamaJangu

    TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  6. Stephano Mgendanyi

    Ulega Aagiza Utekelezaji Miradi ya Ujenzi Kuzingatia Thamani ya Fedha

    ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara, madaraja...
  7. Lord denning

    Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  8. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  9. Determinantor

    Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

    Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa. Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa( naweza kurekebishwa hapa) Miradi ya ujenzi wa inasimama, SABABU Wakandarasi hawa hawajalipwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mwenge wa Uhuru Musoma Vijijini Wazindua Miradi ya Bilioni 3.5

    MWENGE WA UHURU MUSOMA VIJIJINI: MIRADI YA THAMANI YA TSH 3.5 BILIONI YAKAGULIWA NA KUKUBALIKA Mwenge wa Uhuru ulipokelewa kwa shangwe nyingi mno kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) yenye Jimbo la Musoma Vijijini. Hiyo ilikuwa juzi, Jumatano, 31.7.2024 Miradi yote 7 ilikaguliwa...
Back
Top Bottom