Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha shughuli kutoka Makutopora , Tabora, Isaka. Vilevile lot 5 Isaka Mwanza , Kampuni ya Kichina pia...