Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha.
Soma Pia: Show ya Mtoko wa pasaka ya WASAFI MEDIA Roze Muhando simsikii kwenye promo
Video: Wasafi Sunday Worship