Na Dinna Gahamanyi
BBC Swahili
Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani.
Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini ya kutafuta riziki na kubadilisha maisha, lakini iligeuka kuwa dhiki na makovu yasiyoweza kufutika...