==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka marekani kwa kipindi angalau miaka minne ya uongozi wa Mwamba Donald Trump ?
Je Sasa ndio tuseme...
Wakuu,
Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuvunja Shirika la Msaada wa Kibinadamu la Marekani (USAID) na kupunguza wafanyakazi, vyama vya wafanyakazi wa serikali nchini Marekani, vimewasilisha kesi mahakamani kuitaka kusitisha mpango wa kufungwa kwa shirika hilo, vikisema Rais Donald Trump...
Ila Africa tunatia huruma, inatia sana haira hadi leo baada ya kupewa misaada mingi miaka nenda rudi bado tunangoja msaada wa ARV na condom 😣😣.
Kampeni ya kuelimisha jamii juu ya afya mpaka mzungu alete hela na kuna wapigaji watajilipa posho za laki 2 kila siku, hotel za gharama, magari ya bei...
JAMHURI YA MUUNGANO WA KOREA TANZANIA DOLA BILIONI MOJA..
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani Bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya mkopo nafuu kwa Tanzania kupitia Mfuko wa Shirika la Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.