Wakuu,
Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa!
Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?
=====
Rais Samia amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 200 ikiwa ni ahadi...
Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani anaweza kusaidia kwa kutumia fedha ili kuhakikisha mambo fulani yanaenda vizuri. Wanaona kuwa huu ni...