misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

    "Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
  2. Marekani Yarudisha Misaada na Usaidizi wa Intelijensia Kwa Ukraine

    Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30. Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland. Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
  3. Pre GE2025 CHADEMA – Mchezo wa Misaada ya Kigeni unafunika Ukosefu wa Kujipanga kwa Uamuzi wa 2025

    Katika maonyesho ya wazi ya udhaifu wa ndani, CHADEMA imejidhihirisha katika mchezo wa kukamata misaada ya kigeni, jambo linalofichua kutokuwepo kwa mipango madhubuti ya kujipanga mbele ya uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wa chama, wakiongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu, wamekuwa wakizungumzia kwa...
  4. Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

    Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua?
  5. Huyu nabii alitabiri Museveni kuangushwa, na Rwanda kunyimwa misaada. Uijeruman na Ubelgiji tayari zimesitisha misaada kwa Rwanda

    sikikiza kwenye video hapo chini https://m.youtube.com/watch?v=NZI68ek9aOU
  6. Ujerumani yasitisha misaada yake kwa Rwanda kufuatia mgogoro unaondelea Congo

    Wakuu, Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya. Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda imepeleka wanajeshi wake nchini DRC ili awasaidie magaidi wa M23 kuvuruga amani nchini DRC. Aidha...
  7. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  8. P

    WAZUNGU WATAKUWA WAMETUSAIDIA WAAFRIKA WAKIFUNGA MIKOPO NA KUKOMESHA MISAADA.

    Uenda ujio wa Trump ukaleta msukumo kwa mataifa yote tajiri kuacha kutukopesha na kutupatia maendeleo tuone kama hatusongi mbele.
  9. Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
  10. Usitoe misaada hovyo hovyo

    Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee...
  11. M

    Serikali ya Tanzania mshawishini Trump arejeshe misaada

    Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
  12. Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  13. Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  14. Z

    Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

    Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama kawaida ikawa kama ngoma, wapo waliozidisha. JK yeye aliishi hewani kuliko hata rubani. JPM akafunga...
  15. I

    Wanufaika 5 wakubwa wa misaada ya USAID barani Afrika.

    Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20. Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
  16. Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

    Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa. ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za...
  17. S

    Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  18. Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  19. A

    Kwa hizi pesa wanazochezea CCM, Tanzania ni tajiri sana, westerns wafunge misaada kabisa.

    Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana. Hii nchi ina pesa nyingi sana. Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao. Angalieni deni la taifa...
  20. TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…