Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!.
Maneno hayo ni :-
1.Uzuri
2.Urembo
Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili?
" Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya.
"Kuingiliwa" kwa maana ya kupunjwa pesa unayostahili au kulipa pesa zaidi ya unavyostahili. Huu msamiati...
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,
Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k
Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.
Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
Habarini Wanajukwaa.
Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali pengine isipokuwa humu,mfano nilikuwa nje ya jf Kwa miaka miwili ,nimerudi nimekuta misamiati mipya kama...
Kwenye piramidi la vitu vyote vilivyo katika ulimwengu wa miili sisi wanadamu tumeketi kileleni kwa sababu ya urazini wetu.
Katika mipaka ya utambuzi tuliyozaliwa nayo kama wanadamu, tunao uwezo wa kuvuna maarifa kutoka katika mazingira yetu, kufikiri kimantiki, kuteua malengo, kubuni mbinu kwa...
Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote.
VIJULANA WENZANGU MSISAHAU KUPATA SHARUBATI NA UDOHOUDOHO SIKU MOJA MOJA.
nimeounda sentensi hio, mwenye maana yake kwa...
Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika...
Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu.
Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
1. Kisado -- Bidhaa ni rangi ya nyumba, ya kampuni ya Sadolin. Walikuwa wakiweka kwenye makopo ya ukubwa fulani yaliyopachikwa jina la "visadolini" au "visado".
2. Kimbweta - Kiti na meza cha zege, mara nyingi huwapo kwenye taasisi za elimu ya juu. Vilibuniwa na Prof. Mbwette. Wengine huviita...
"Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu.
uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo.
Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki
Wambeya mama...
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili.
Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.