Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha.
Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na watu karibu yako (Ndugu, jamaa, marafiki, mashabiki nk.) Sasa Huu msemo wa the miserable need company...