Posho ya madaraka kwa waganga wafawidhi.
Kwa muda mrefu sasa, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya nchini wamekuwa wakitekeleza majukumu mengi mazito ya kiuongozi bila kutambuliwa ipasavyo kwa malipo yao. Mbali na kuhudumia wagonjwa, sisi ndio tunasimamia watumishi, tunaratibu...
Anonymous
Thread
mishaarawatumishiwaummawaganga wafawidhi wa zahanati
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi...