Nipenda kutuma Salamu zangu kwa mwanzilishi wa JF, watumishi wa JF na watumiaji wa JF. Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi.
Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024.
Watumishi wamelipwa baada ya kelele kuwa nyingi...
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
PIA SOMA
- Kuanzia...
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa...
Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.
Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.