Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu.
Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais aliyeko madarakani na wanaompa hizo sifa haswa ni wale viongozi wa...