Salaam jamiiforum
Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja,
Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford,
Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto...
Wakuu
Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao?
==
Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi;
Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani.
Hii kimsingi inachangiwa na ukuaji mzuri wa uchumi na mahitaji makubwa ya ujuzi maalum.
Ripoti hii...
Nimeona mnawasakama sana walimu, mnawaona kama ni watu maskini lakini nikiangalia kada zingine za halmashauri wanakaa juu ya mawe tu hakuna utofauti wowote wa maisha kati ya walimu na watumishi wengine.
Mwalimu mwenye degree anaanza na D3 ambayo ni 805,000/= na maafsa wengine wa halmashauri...
1. Osha
2. NIMR
3. Ocean Road
4. NashCop
5. MOI
6. NACP
7. TMDA
8.Muhimbili
9.Benjamini Mkapa hospital
10.MSD
11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI)
12.
13.
Kama kuna zingine ongezea
NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya.Taasisi za serikali Usitoke nje ya Rada
Pia soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.