mishahara ya walimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Walimu wasio na ajira (NETO) wasema Walimu wenye degree kulipwa 150,000 siyo haki

    Umoja wa Walimu wasio na ajira nchini Tanzania (NETO), umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali, kuwasaidia Walimu hao kupata ajira na kuweka usimamizi madhubuti pamoja na kufuta mfumo wa usaili katika mchakato wa kutoa ajira. Uongozi wa Umoja huo...
  2. The Sheriff

    Uganda: Walimu ngazi zote kutakiwa kuwa na digrii, baadhi wataka Serikali kufadhili masomo kwani mishahara haitoshi kurudi shule

    Walimu kutoka baadhi ya maeneo nchini Uganda wameiomba serikali kufadhili elimu kwa walimu wote wa Daraja la III ili kuwawezesha kupata shahada za chuo kikuu. Wanasema kuwa mishahara yao ya sasa, ambayo ni midogo, haitoshi kugharamia masomo ya juu zaidi. Sera ya Kitaifa ya Walimu ya mwaka 2019...
  3. Mpwayungu Village

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  4. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  5. Fund man

    Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  6. Mama Naa

    Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

    Amani iwe juu yenu nyote. Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO. Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA)...
Back
Top Bottom