Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama “mashangazi” kuacha kutumia vipato vyao zikiwemo fedha za mikopo, kuwarubuni vijana wenye umri mdogo...