Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka mtu kati kukushambulia na kukupinga
Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari.
Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM.
Kuna watu ni wasomi lakini matendo yao ni kama hawajasoma kabisa. (Kabudi style)
Kuna watu wanasajili Kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.