Yanga inapaswa tubadilike
Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache.
Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage.
Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8.
Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
Wakuu habari,
Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc.
Nilichokiona
Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba
Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack
Winga zipo safi na...
Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo.
Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi
2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu
3. Mtu Mmoja katika...
Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu.
---
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
aziz
aziz ki
bara
jumla
kinara
kuu
ligi
ligi kuu
misimu
msimu
nbc
nbc premier league
premier
premier league
rekodi
soka
soka tanzania
tanzania
tanzania bara
ufungaji
vipi
Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara!
Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
Serikali ichukue hatua madhubuti kupitia viongozi wake katika mazingira mbalimbali waliyopo, tusisubiri maafa yatokee ndio tushtuke kuwa tunapaswa kuchukua hatua, inaumiza sana.
Kuwe na mipango mikakati juu ya kuweka usalama katika maeneo yalio na hatari za kukumbwa na mabalaa katika msimu...
Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC.
Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria.
Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
Natumaini wazima,
Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo atajiuzulu, kibaraka wake atakimbia timu.
Kuna laana inawatafuna Simba chini kwa chini, tena ni liana...
Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia.
Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea kubaki vile vile ya kuwa mpira hauna cha short cut, mpira ni uwekezaji na project za maana ili upate...
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!
Yanga instructed...
Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥
Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)...
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5
Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja
Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
Timu ya Manchester City imefungiwa kushiriki mashindano ya European Champion League na Europa League katika misimu inayokuja ya mwaka 2020 / 2021 na 2021/ 2022.
Hii inatokana na timu hiyo tajiri ya Uingereza kukiuka kanuni za matumizi ya kiwango cha pesa ktk kusajili wachezaji.
Timu zote ulaya...
Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana.
Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali.
Nimemkumbuka pia...
Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha.
Tafiti zimebaini kuwa mitandao ya kijamii imekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.