misimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    kihistoria Yanga haijawai kupata zaidi ya point 8 kwenye makundi ya ligi ya mabingwa. Inapaswa ibadilike misimu ujao

    Yanga inapaswa tubadilike Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache. Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage. Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8. Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
  2. Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu misimu minne, wakikaza watasumbua sana

    Wakuu habari, Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc. Nilichokiona Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack Winga zipo safi na...
  3. Sababu ya simba kuwa vile vile misimu yote ni, "comfort zone" inawaponza viongozi na mashabiki

    Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo. Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
  4. Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

    1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi 2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu 3. Mtu Mmoja katika...
  5. Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  6. Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  7. Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  8. Mamlaka ziwajibike juu ya usalama wa maeneo hatari kukumbwa Majanga ya Misimu yanayosababisha maafa

    Serikali ichukue hatua madhubuti kupitia viongozi wake katika mazingira mbalimbali waliyopo, tusisubiri maafa yatokee ndio tushtuke kuwa tunapaswa kuchukua hatua, inaumiza sana. Kuwe na mipango mikakati juu ya kuweka usalama katika maeneo yalio na hatari za kukumbwa na mabalaa katika msimu...
  9. Simba ni wanyonge Kwa Azam?

    Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC. Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
  10. M

    Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  11. Simba itateseka kwa misimu kadhaa jiandaeni kisaikolojia

    Natumaini wazima, Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo atajiuzulu, kibaraka wake atakimbia timu. Kuna laana inawatafuna Simba chini kwa chini, tena ni liana...
  12. M

    Yanga wanastahili kufika walipo, sio miujiza bali ni investiment iliyofanyika kwa misimu 3 wakijitafuta!

    Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia. Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea kubaki vile vile ya kuwa mpira hauna cha short cut, mpira ni uwekezaji na project za maana ili upate...
  13. N

    Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  14. Mapenzi nayo yana misimu

    Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😄 Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)...
  15. Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

    MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
  16. F

    Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  17. B

    Baada ya kufungiwa misimu miwili kushiriki UEFA, huenda Manchester City ikapunguziwa alama za Ligi na kushushwa daraja

    Timu ya Manchester City imefungiwa kushiriki mashindano ya European Champion League na Europa League katika misimu inayokuja ya mwaka 2020 / 2021 na 2021/ 2022. Hii inatokana na timu hiyo tajiri ya Uingereza kukiuka kanuni za matumizi ya kiwango cha pesa ktk kusajili wachezaji. Timu zote ulaya...
  18. Misimu ya maisha

    Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana. Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali. Nimemkumbuka pia...
  19. Misimu ndani ya JamiiForums

    Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha. Tafiti zimebaini kuwa mitandao ya kijamii imekuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…