misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbinu ya kuwakamata wapenzi wa jinsia moja Inayotumika Misri

    Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia programu za uchumba na kijamii kufanya hivi, Ahmed Shihab-Eldin anaripoti. Majina ya waathiriwa wote...
  2. Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa dawa bandia

    Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa kimakosa antibiotics bandia. Katika kisa kimoja mtoto wa umri wa miaka miwili aliyekuwa na joto kali alifariki baada ya madaktari wa hospitali kumdunga dawa ambazo zilionekana kuwaghushi. Vyombo vya habari vya Misri vinasema...
  3. COP Misri Imeisha, Maji kuanza kutoka (tena) soon!

    Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika huko Misri umeisha thank God, na sasa hali kuanzia kurejea kama kawaida hapa Duniani, ukame utaisha na Watanzania wataanza kupata maji (tena), maji yataanza kutoka siku chache zijazo, amini usiamini, ni hivyo, it’s a game, …
  4. Misri: Dereva aliyesababisha ajali iliyoua watu 21 akutwa akiwa amelewa

    Polisi walimkamata dereva huyo baada ya uchunguzi wa awali wa kiwango cha Ulevi kuonesha alikuwa ametumia Dawa za Kulevya. Watu 14 walionusrika kwenye ajali wamesema Dereva wa basi lilotumbukia kwenye mfereji katika eneo la Nile Delta Nov 12, 2022 alikuwa akitumia Simu huku akiendesha...
  5. Rais Samia ashiriki mkutano wa COP27 nchini Misri. Awakutanisha marais 11 kujadili umeme

    Leo tarehe 07 Nov. 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania alishiriki mkutano wa 27 wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huo umefanyika kwenye mji wa Sharm El Sheikh. Rais Samia ameambatana na Waziri wa mambo ya nne na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Tax. --- Rais...
  6. Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu. I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi. Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika. Globalfire
  7. J

    Tanzania na Misri wakubaliana juu ya kuendelea na mradi wa uchimbaji wa visima na mabwawa

    TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA Cairo-Misri Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri Mhe Profesor Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuekeza timu alioambatana nayo kukutana haraka na...
  8. T

    Dejan Georgijevic mbioni kutikia nchini Misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria)

    Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa simba Zoran Maki. Vyanzo vya karibu nchini Misri vimenihabarisha kuwa kocha huyo Zoran Maki...
  9. N

    Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
  10. Mapiramidi ya Misri yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Noah?

    Eti wakuu. Yale mapiramidi ya kwanza kujengwa huko Misri. Yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Nuhu?
  11. Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  12. Misri: Netflix, Disney+ zatakiwa kuomba leseni za streaming

    Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu Taarifa ya Bodi ya Maudhui imesema hatua hizo zimechukuliwa kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la majukwaa...
  13. Gavana wa Benki Kuu ya Misri ajiuzulu

    Tarek Amer aliyebakiza mwaka mmoja kumaliza utumishi wake kama Gavana wa Benki Kuu, amejuzulu leo na kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah el-Sissi. Kujiuzulu kwa Amer kunakuja wakati serikali ikiwa katika mazungumzo na Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF kwa ajili ya mkopo...
  14. Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

    Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
  15. N

    Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

    Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule? Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana...
  16. Hao ni vipers vipi ingekuwa RS berkane au Al masry ya misri?

    Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
  17. Misri imewaachia huru wafungwa 7 akiwemo mwandishi

    Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi. Hatua hiyo imefanyika siku moja baada ya Serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sissi kutoa...
  18. Mahakama Nchini Misri yataka kunyongwa kwa muuaji wa Mwanafunzi wa kike kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni

    Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
  19. Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
  20. Pre Season | International Friendly Match | Ismailia SC 1-1 Simba SC

    Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini Misri ambapo mchezo huo umekwisha kwa sare ya kufungana bao moja kwa moja, bao la Simba SC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…