Wakuu,
Huko Botswana inaonekana vijana wamezidi kupewa nafasi kwenye masuala ya uongozi.
Lesego Chombo, aliyewahi kuwa Miss Botswana, ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Masuala ya Jinsia na Vijana nchini Botswana.
Soma pia: Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa...