miss chaga

  1. Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

    Sijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima. Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu...
  2. Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  3. Happy born day to me

    Jamani wanajamii wenzangu Leo ni Siku yangu ya kuzaliwa happy birthday to me Karibuni keki πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž Povu sitaki
  4. Mechanical Technician

    Mimi n kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 29. Nlisoma Mechanical Engineering DIT mwaka 2010-2013. Nnatafuta company yoyote ya kufanya nayo kaz. Nna uwezo wa kufnya kaz kwenye Migodin na Company za Ujenzi kwenye Catpillar machine,Generator,Air compressor etc. Experience ni Miaka 2...
  5. DUDUWASHA-Based on true Story

    DUDU WASHA 1 Episode 1-4 -UTANGULIZI- Ni mwalimu mkuu wa kike katika shule ya msingi Tundu aliyefahamika kwa jina la Walda Nyaongo,,shuleni hapo alikuwa akiwafundisha somo la hesabu darasa la saba,,,akiwa anasahihisha madaftari ya wanafunzi ofisni kwake,,,kwavile ofisi yake ilikuwa karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…