Vazi la mwakilishi wa Nepal katika Miss Grand International limeibua mjadala kuhusu nafasi ya mashindano ya urembo katika kuwasilisha maumivu ya wananchi, wakati Jihan Dimack wa Tanzania alichagua kuutangaza utajiri wa wanyamapori, mandhari na urithi wa taifa.
Tofauti hizo zinaibua swali...