UPDATE: Chidimma Adetshina ametangazwa Mshindi wa michuano ya Miss Universe Nigeria na hivyo ataiwakilisha Nchi hiyo katika mashindano ya Kimataifa ya Miss Universe huko Mexico, Novemba 2024
Ushindi huo ni baada ya kujitoa katika Mashindano ya MissSouthAfrica ambapo alikutana na shinikizo baada...