Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi.
Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea...