miss zomboko

  1. T

    Wabunge wa upinzani bungeni

    Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
  2. Sanyambila

    SWALI FIKIRISHI: Kwanini CCM wanawalaumu Wapinzani huku wao ndo watawala kwa miaka 59

    Wanajamii habari! Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa CCM wakilalamika na kusikitika huku wakidai vijana mmekosa ajira sasa nipeni kura nitatoa ajira. Huku CCM ndo wamekaa madarakani miaka 59 wakitoka TANU hadi CCM. Mgombea wa urais amesikika Mara kadhaa akisema '' chagueni CCM vyama vingine...
  3. S

    Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

    wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
Back
Top Bottom