Heshima kwenu wakuu,
Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae.
Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poa
Just mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake...