mistari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

    Waungwana nawasalimu, Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema. Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
  2. Mistari kwenye Tv ya Hisense

    Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
  3. Mtu mmoja tu ndio huchora mistari kwenye Rolls Royce

    Mark Court amekuwa mtu pekee ambaye amekuwa akipaka rangi kwenye pini kwenye magari yote ya Rolls-Royce tangu 2003. Kazi yake ni hatua ya mwisho katika mchakato wa utengenezaji na makosa yoyote katika kazi yake ina maana kwamba gari yote itakuwa repainted. Lakini kazi yake inahusisha mengi...
  4. Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

    Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima. Ufunuo 13:17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
  5. Wakati Netanyahu atumia mistari ya biblia kuhalalisha vita ndani ya Gaza, Erdogan asema Hamas ni chama cha ukombozi wa Wapalestina

    Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
  6. Tuchukue lipi, Tuache lipi kwa mistari hii ya Joh Makini

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI? STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION) Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana. Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu. "I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
  7. Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  8. D

    Nyoka wenye mistari wana madhara?

    Wajumbe habari za muda huu? Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi. Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
  9. Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  10. Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  11. Ni mistari ya msanii gani au nyimbo gani ilikupatia mpenzi na je mpo naye au kilishaumana?

    Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
  12. Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  13. Lyrics Master umeshindwa kuweka Mistari ya Hili Game ya Sir Nature

    Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani. Nilijua nitamnasa tu. Mistari ya Hili Game anaijua Juma Kassimu peke yake nina hakika hata P Funk aliyerekodi haijui. Sasa...
  14. Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

    Msaada, Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana...
  15. M

    Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  16. Huwa navutiwa sana na mistari ya nyuma ya magoti

    Salaam, Niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa jinsia tofauti. Kwa mwanamke huwa nikiona tu mistari ya nyuma ya goti nakuwa hoi, lakini pia akiwa mweusi na ile mistari huwa inaonekana vizuri na hapo ndipo utamu unapokua kolea. Ila pia wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…