misumari

  1. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  2. R

    Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  3. JanguKamaJangu

    DOKEZO Arusha: Wananchi wadai kutozwa Sh. 2,000 ili wapite barabarani Arumeru, wawekewa kizuizi chenye misumari

    Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi elfu mbili (2,000) kwa kila siku ya jumamosi na kuelezwa kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya ukarabati wa...
  4. R

    Yesu hakupigiliwa misumari kwenye viganja vya mikono!

    Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha. Sababu ni kwamba wangepiga misumari katikati ya kiganja na kumning'iniza...
  5. M

    Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza misumari

    Naomba nisaidiwe mawazo njinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutegeneza misumari, gharama zake na mitambo ya kutegenezea inapo patikana ili ninunue nianze kazi.
  6. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  7. S

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Hakuna wakati ambapo Kikwete amesemwa vibaya na kusutwa kama wakati huu wa msiba wa Lowasa. Mzee huyu amesutwa na kuzodolewa ktk namna ambayo siyo rahisi kwa nafsi yake kukosa maumivu. Ni kwa vile tu moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua unaongea nn. Lkn hata kwa kumuangalia tu anaonekana usoni...
  8. BARD AI

    Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  9. S

    Biashara ya kuzalisha misumari

    Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo. Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika...
  10. Z

    INAUZWA Pata misumari ya bati ya rangi kwa bei poa kabisa

    Bei-6500 kwa PC1Location-Dodoma, Michese mtaa wa kona. Pia ukihitaji ya rangi zingine kam blue, gree Namba yangu ni 0653426046 karibun wadau
  11. M

    Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  12. Erythrocyte

    Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

    Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia misumali na wala hakukuwa na hata chembe ya Utawala bora. Kikao hicho kimeitishwa na Katibu Mkuu...
  13. Analogia Malenga

    Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
Back
Top Bottom