Habari za leo,
Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo.
Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa lakini hawana majibu.
Sasa cha kushangaza hizi mita zina namba zake ambazo ni za usajili. Je, hawa...